Posts

Showing posts from 2017

PATRICK NGOWI SUCESS STORY

Image
The main theme of putting this story is to motivate and encourage those people who want to succeed by taking opportunities, Not only enjoy reading the story but also i am encouraging you to LEARN from it. Patrick did things that youth have to learn and take action. THE STORY!!! Patric Ngowi was born in Tanzania in 1985. Though raised by scholars, he grew up not looking in the direction of a career in academics, but with the absolute mindset of an entrepreneur. At the age of 15, Ngowi was already selling airtime top-up vouchers .  Spotting this business opportunity, Ngowi raised a loan of $50 Dollars from his mother  (May God bless all mothers who do this) , started purchasing airtime vouchers from large dealers, and finally re-selling to the locals. Saving them both the time and stress they originally experienced. After finishing high school, Ngowi took a trip to Asia, where he discovered yet again another business opportunity of importing mobile phones in Tanzania. Th...

JIFUNZE NIDHAMU YA KUWEKA AKIBA YA FEDHA

Image
KUWEKA AKIBA KUNAHITAJI NIDHAMU Kama unapenda kufanikiwa katika biashara basi anza kujifunza kuwa na nidhamu ya matumizi bora ya fedha unazozipata. Inawezekana umeajiriwa na unapata mshahara kila mwisho wa mwezi, Je kuna kiasi chochote cha pesa huwa unabakisha kama akiba? Maisha hayatabiriki kuna mambo mengi mbele yetu ambayo kwa namna yeyote ile hatuwezi kuyatabiri (unforeseen events) akiba imekuwa mkombozi mkubwa kwa matatizo ya aina hiyo. Kama unapenda kuanza biashara na huna kabisa mtaji wa kuanza nao ila una mahali unapata hela kama malipo, basi nakushauri anza kuwa na mipango thabiti ya kuweka akiba. Jiwekee wajibu ambao ni lazima uutimize kila siku, unaweza kujiwekea wajibu wa kuweka 500 kila siku. Hii itakusaidia sana kuwa na nidhamu ya fedha lakini pia kujibana kwa ajili ya kitu fulani. Najua watu wengi wamekuwa na matamanio ya kuweka akiba lakini huwa wanashindwa njiani na kuitumia akiba waliyoweka eti kwa sababu walikuwa na uhitaji wa fedha kwa wakati huo hivyo wakaona...

HOW ALIKO DANGOTE MADE HIS MONEY

Image
  How Aliko Dangote – Africa’s Richest Man Made His Money What are the business success secrets of Aliko Dangote? How did Aliko Dangote become a billionaire and the richest black man in the world? Well, i advice you read on to find the answers you seek . Culling from a popular quote that says “ if you want to be rich and successful, observe what the rich are doing and do the same. ” I don’t know how effective this strategy can be but I feel there is an atom of truth in that statement. Who is Aliko Dangote? Aliko Dangote is a business magnate, whose business acumen and aggressiveness send fear into the mind of competitors. He is the richest man in Africa, the richest man in Nigeria and the richest black person in the world. This humble billionaire currently sits atop one of Africa’s largest conglomerate, the Dangote Group. On the 9 th  of March 2011, Forbes magazine declared Aliko Dangote the richest black person in the world with a net worth of $13.8billion. It’...
KWA NINI BIASHARA YAKO HAIFANIKIWI 1) Ni mwepesi wa kukata tamaa , unahisi biashara ndio imeshakufa na huna haja ya kujipanga tena kuiimarisha. Changamoto ndogo unashindwa kukabiliana nazo unakuwa mwepesi wa kuacha changamoto zikutawale badala ya kupambana nazo uzishinde. 2) Sio Mbunifu,  Unashindwa kuwa mbunifu katika biashara unayoifanya na kufanya wateja wako waone hauna jipya. Tangu umefungua biashara yako hujawahi kufanya jambo lolote la utofauti ili kuongeza thamani na kuwavutia wateja. Wateja wameshachoka kuona kitu unachokiuza kila siku unatakiwa kuweka ubunifu ili kuongeza thamani na kufanya biashara yako kuwa mpya machoni kwa watu. 3) Hujaelewa wateja wako wanataka nini zaidi,  unatumia nguvu nyingi, pesa na muda kufanya kile ambacho kinakupendeza wewe machoni na sio kinachowapendeza wateja. Kama bado hujalingundua hilo rudi sokoni chunguza wateja wanataka nini sio wewe unapenda nini. Cheza na soko linataka nini kwa wakati gani. 4) Huwajali wafanyakazi wako, ...
NJIA RAHISI YA KUTANGAZA BIASHARA YAKO: Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia matangazo (marketing) inabeba nafasi kubwa sana katika kufanya biashara imfikie mlaji kiurahisi na hivyo kuleta maendeleo katika biashara. Biashara za kukaa na kusubiri wateja waje zimepitwa na wakati, inatakiwa ubuni mbinu za kuwafuata wateja walipo. Nimeandika baadhi ya njia za kutangaza biashara, jaribu kuzifuata utaona matokeo. 1) Tengeneza vipeperushi na business cards, zisambaze kwa kila mtu unayeona anafaa kuwa mteja wako. 2)Tumia mitandao ya kijamii kujitangaza kama Facebook, Instagram 3)Tumia vyombo vya habari kama radio, televisheni na magazeti 4)Andaa matamasha utakayotumia kujitangaza 5)Hudhuria matamasha mbalimbali yaliyoandaliwa na utumie kujitangaza. 5)Tumia magari ya matangazo kutangaza huduma au bidhaa zako 6)Kuwa na utaratibu wa kuwa na siku ya punguzo la bei (promotion day) 7)Toa huduma iliyobora wateja wataletana wenyewe. (Good customer care) 8)Ajiri watu kwa ajili ya k...