JIFUNZE NIDHAMU YA KUWEKA AKIBA YA FEDHA
KUWEKA AKIBA KUNAHITAJI NIDHAMU
Kama unapenda kufanikiwa katika biashara basi anza kujifunza kuwa na nidhamu ya matumizi bora ya fedha unazozipata. Inawezekana umeajiriwa na unapata mshahara kila mwisho wa mwezi, Je kuna kiasi chochote cha pesa huwa unabakisha kama akiba?
Maisha hayatabiriki kuna mambo mengi mbele yetu ambayo kwa namna yeyote ile hatuwezi kuyatabiri (unforeseen events) akiba imekuwa mkombozi mkubwa kwa matatizo ya aina hiyo.
Kama unapenda kuanza biashara na huna kabisa mtaji wa kuanza nao ila una mahali unapata hela kama malipo, basi nakushauri anza kuwa na mipango thabiti ya kuweka akiba. Jiwekee wajibu ambao ni lazima uutimize kila siku, unaweza kujiwekea wajibu wa kuweka 500 kila siku. Hii itakusaidia sana kuwa na nidhamu ya fedha lakini pia kujibana kwa ajili ya kitu fulani. Najua watu wengi wamekuwa na matamanio ya kuweka akiba lakini huwa wanashindwa njiani na kuitumia akiba waliyoweka eti kwa sababu walikuwa na uhitaji wa fedha kwa wakati huo hivyo wakaona akiba bora itumike.
Ili ufanikiwe katika kuweka akiba lazima uwe na lengo ambalo unatakiwa kulitimiza kutokana na akiba unayoweka. Usiweke hela ilimradi tu unaweka akiba bila kuwa na lengo...
KUNA NJIA NYINGI ZA KUWEKA AKIBA.
1) KIBUBU- Njia ambayo watu wengi inawashinda, usikubali kushindwa... kibubu kinaweza kuwa mkombozi wa kufanikisha wazo lako la biashara. Tafuta kitu ambacho ni imara ili uchafu, wadudu au mtu mwingine hawezi kuingia au kuingiza mkono na kuharibu hela zilizopo ndani, mfano ni box za mbao zinazotengenezwa na mafundi ni maarufu sana, unaweza kutafuta kopo zuri kubwa la wastani ukalitoboa vizuri ili hela ziingie vizuri. Hakikisha kibubu chako hata wewe mwenyewe huwezi kuona kilichopo ndani ili usizitamani na kuzichukua hela. Kiache kibubu chako mpaka siku ya mwisho uliyopanga kwuweka hela. Ukiweza kuhifadhi hela kwenye kibubu mpaka mwisho utakuwa umejifunza nidhamu kubwa sana ya pesa.
2)VIKOBA- Huku watu wanaita kupandikiza hisa, unakuwa unaweka hela mpaka muda flani mnagawana kutokana na hela ulizoweka. Vikoba vingi huwa haviishi vizuri kwani utapeli umekuwa mwingi. Shiriki vikoba ambavyo ni watu wanaoeleweka na ni vizuri kikiwa kimesajiliwa. Ni vizuri kutumia saccos zaidi kwa njia hii.
3)BENKI- Hii ni njia salama zaidi, unafungua akaunti ambayo hutaruhusiwa kutoa hela yeyote kwa kipindi fulani, hii itakufanya uweze kujinyima hasa kwa wale wasioweza kuweka hela kwenye kibubu. Ukienda benki yeyote waambie nahitaji kufungua account ya kuweka akiba au Savings account.
4)KUWEKEZA- Hii ni kwa mtu ambaye anataka kuanza bishara fulani ambayo inamhitaji kununua bidhaa ila hana hela, kwahiyo unatafuta duka la kueleweka unaelewana nao uanze kuwekeza kwa ajili ya bidhaa flani dukani kwao, unakuwa kila siku unapeleka hela kwenye duka husika mpaka itakapotimia hela ya kifaa unachokitaka kwa ajili ya biashara. Fanya hivi kwa maandishi ili usidhulumiwe.
Kuna njia nyingi chagua ambayo wewe utaiweza kuitimiza kwa asilimia 100% ili kutimiza lengo lako...
"Weka akiba kwa manufaa yako"
David Mchomvu.
0675975251
mchomvu6@gmail.com
PESA/UTAJIRI WA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI
ReplyDeleteMPAKA MASAA 48(SIKU 2) PAPO HAPO ULIPO KUPITIA KALAMA KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......
HIZI NI DAWA NA MUDA WA UKAMILIFU WAKE NA KUKUKABIDHI
MAJINI ZIPO AINA 3
1. GHUUL(chma ulete)....Siku 5
2.SAIFRAHAN(Jini wa kufuga)...Siku 6 n.k
3.SAIFRAHA(jini wa bahati)....masaa 24
NDAGU ZIPO AINA 6
1.MTU.....week 1 na nusu
2.MIMBA....siku 5
3.UTASA....masaa 72(siku tatu)
4.ULEMAVU....siku tano
5.NDUGU WATATU...siku sita
6.WANYAMA.....masaa 48
KARIBU UPATE UFAFANUZI UCHAGUE UIPENDAYO KILA MOJA NA MASHARTI YAKE.
KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA
kwa maelezo kamili piga namba +255742162843
HACHA KUTANGATANGA PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI
NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI NA KUTUNZA SIRI......
NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.
@highlight @highlight Following TAWALA ZA MAJINI NA TIBA ZAKE NA NJISI YA KUWA TUMIA KENYANS LIVING IN USA πΊπ²π¬π§ KENYA BUSINESS NETWORK @highlight Watowaji Pesa Za Majini Everyone Products Your Friend.
PIGA SIMU/Whatsup +255 742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA SIMU KUEPUKA MATAPELI